hii tablet ni moto! nilishook na price yake, ksh 11,500 ni deadly for 12gb RAM na 512gb. delivery ilikam haraka sana. inafanya kazi poa for gaming na kurefresh. worth it sana, no regrets.

Recently Viewed